Watu 15 wauawa katika mapigano ya mapigano ya kikabila – vyanzo vya ndani

Lubumbashi – DRC ANGALAU watu 15 kutoka jamii ya Wabantu huko nchini DRC wameuawa Alhamisi katika shambulizi ambalo wanashutumiwa Mbilikimo wa eneo hilo la kusini mashariki ambalo limeshuhudia machafuko ya kikabila, vyanzo vya ndani vimesema. “Mapambano baina ya Wabantu na Mbilikimo katika kijiji cha Piana Mwanga yameacha kiasi cha watu 15 wakiwa wamekufa, 37 wamejeruhiwa na nyumba 65 zikiwa zimechomwa moto, askofu wa mji wa kusini mashariki wa Manono aliliambia shirika la habari la AFP. Kamona Lumuna, waziri wa ndani wa jimbo la Tanganyika ambako shambulizi hilo limetokea, alithibitisha...

read more...

Share |

Published By: Raia Mwema - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News