WATOTO 67 WA KIKE WAKATALIWA NA WAZAZI WAO

Na TIMOTHY ITEMBE - TARIME WATOTO 67 wa kike kati ya 2,572 waliokimbilia Kituo cha Msanga kinachopokea na kulea watoto wa kike waliokimbia nyumbani kwao kuogopa kukeketwa, wamekataliwa na wazazi pamoja na walezi wao. Kutokana na kitendo hicho, kituo hicho kimechukua jukumu la kuwapeleka shule kuanza masomo kwa mwaka huu, huku kikiiomba Serikali kuingilia kati kwa kuwachukulia hatua wazazi na walezi waliokataa kuwapokea watoto hao. Akizungumza wakati wa kufunga mahafali ya kufunga kambi,  Meneja wa mradi wa Association For Termination of Female Genital Multilation (ATFGM) ulio chini ya kituo hicho,...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Monday, 1 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News