Watishia kuzika maiti kwenye ofisi ya mtaa

WANANCHI wa mtaa wa Mhongolo, wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametishia kuzika mbele ya ofisi ya mwenyekiti wa mtaa huo pindi wanapopata msiba kutokana na eneo lililotengwa kwa huduma za kijamii kuvamiwa na wananchi na kujengwa makazi ya kuishi....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News