Wapinzani kuendeleza maandamano Kenya

Muungano Mkuu wa Upinzani Nchini Kenya, ambao umeshindwa katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, umeapa kuendelea na maandamano yenye nia ya kubatilisha kile ambacho wanachodai kuwa, matokeo "feki" ya uchaguzi mkuu. Raila Odinga, amedai kuwa uchaguzi huo ulikumbwa na wizi mkubwa wa kura....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Sunday, 13 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News