Wananchi Wasaidia Kuzima Moto Uliotokea Kituo cha Data cha Tigo Morogoro

Afisa Mkuu wa ufundi na miundombinu kutoka Tigo, Jerome Albou, akimuonyesha mbunge wa mjimbo la Morogoro mjini, Aziz Abood juzi,mtambo wa 4G mkoani Morogoro, mara baada ya kukabidhi vyeti kwa wananchi kata ya Mji Mwema waliosaidia kuokoa mtambo huo usiteketee na moto mwishoni mwa mwaka jana.Mbunge wa mjimbo la Morogoro mjini, Aziz Abood akihutubia wananchi kata ya Mji Mwema waliosaidia kuokoa mtambo huo usiteketee na moto mwishoni mwa mwaka jana.Mkurungezi wa Tigo Kanda ya Pwani akihutubia wananchi kata ya Mji Mwema waliosaidia kuokoa mtambo huo usiteketee na moto mwishoni mwa mwaka jana.Afisa...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News