Wananchi Wapata Mkakati wa Mabadiliko ya Tibia ya Afya.ya Uzazi.

AFISA kutoka Tume ya Ukimwi Pemba, Ali Mbarouk Omar akiwasilisha malengo ya mkakati wa mabadiliko ya tabia na afya ya uzazi kwa vijana, huko katika ukumbi wa Tasaf Chake Chake PembaWASHIRIKI mbali mbali wa mkakati wa mabadiliko ya tabia na afya ya uzazi kwa vijana, wakifuatilia uwasilishwaji wa mkakati huo huko katika Ukumbi wa Tassaf Chake Chake Pemba.(Picha na Abdi Suleiman Pemba)...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 3 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News