WANANCHI WAHAMASISHWA KUCHANGIA DAMU SALAMA

Nesi kutoka Mpango wa  Taifa ya Benki wa damu salama Catherine Kiure akimuhudia moja ya wahamasishaji wa uchangiaji damu Prosper Magali wakati wa uchangiaji damu unaoendelea katika Enep la Ubungo Plaza Jijini Dar es Salaam. Wananchi wakiwa wamejitokeza kuchangia damu salama uliohamashihswa na Prosper Magali kwa ajili ya kuhakikisha bnki ya damu inakuwa na damu ya kutosha. Mwandishi wa MMG/Kajunason Blog Cuthbert Kajuna akiwa anachangia damu leo Jijini Dar es salaam. Mwandishi na mshereheshaji maaruf nchini Taji Liundi ‘Master T’ akiwa anachukuliwa vipimo kwa ajili ya kuchangia damu  katika...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News