Wananchi wa Kijiji cha Furaha Pemba Wakishiriki Katika Ujemnzi wa Taifa Kukamilisha Ujenzi wa Skuli ya Furaha Pemba.

 BAADHI ya magari ya abiria zenye rudi Chake-Uwanja wa ndege, zikiwa zimetulia katika skuli ya Msingi Furahaa, kufuatia siku maalumu kwa wananchi wote kushiriki katika zoezi la utiaji wa zege kwa skuli hiyo WANANCHI wa Furaha wakibeba kokoto kwa ajili ya umwagaji wa zege katika banda moja lenye vyumba vinne vya kusomea wanafunzi, ili wananfunzi waliohamishwa katika skuli ya Mabaoni waweze kurudi skulini kwao WANANCHI wa Fura Wilaya ya Chake Chake, wakiponda zege kwa lengo al kwenda kumwaga katika madarasa manne mpya yanayojengwa na Baraza la Mji Chake Chake, kwa ajili ya...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News