Wananchi wa Burundi wanapiga kura kuhusu mabadiliko ya Katiba Alhamisi

Wananchi wa Burundi wanatarajiwa kupiga kura ya maoni kesho kuibadilisha Katiba ya nchi hiyo. Iwapo Katiba itabadilishwa, huenda rais Pierre Nkurunziza akaendelea kuwa madarakani hadi mwaka 2034. Je, Burundi ilifikaje hapa ?...

read more...

Share |

Published By: RFI France - Wednesday, 16 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News