Wananchi Kenya walivyokasirishwa na picha ya Jaguar kwenye Range Rover Sport Mpya !!!

Moja kati ya stori zilizochukua headlines kwenye social network ni pamoja na stori ya Staa wa muziki nchini Kenya Jaguar, baada ya kuonekana akiwa na gari lake jipya aina ya Range Rover Sport, baadhi ya wananchi wameoneshwa kukasirishwa na hilo. Jaguar alipost picha mtandaoni akiwa karibu na Range Rover Sport mpya, licha ya kuwa hajasema […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 8 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News