Wanafunzi Wanaume na Wanawake waanzisha kampeni maalumu ya kuvaa ‘vimini’

Katika hali ya kushangaza, wanafunzi wa chuo wamegoma kufuata mapendekezo yaliyotolewa na uongozi wa chuo hicho ya kutovaa nguo fupi kwa madai kuwa zinawakwaza baadhi ya wanafunzi wenzao na waalimu katika taasisi hiyo nchini Columbia. Kutokana na mapendekezo hayo yaliyoandikwa kwenye tovuti ya chuo hicho January 30, 2018 wanafunzi wameungana na kusema suala hilo ni la […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News