Wanafunzi 2,679 waliokata rufaa Bodi ya Mikopo waula

BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha yenye wanafunzi 2,679 ambao wamepata mikopo ya elimu ya juu yenye thamani ya Sh bilioni 9.6 baada ya kukamilika kwa uchambuzi wa rufaa zilizowasilishwa na wanafunzi hao....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Tuesday, 5 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News