Wanachama wa Yanga Waandamana Hadi Nyumbani kwa Manji Kumuomba Arudi Kwenye Nafasi Yake

Katika hali isiyo ya kawaida inaelezwa baadhi ya mashabiki na wanachama wa Yanga wameendeleza kauli mbiu ya Mabadiliko na Yanga kwa kuamua kutimba nyumbani kwa tajiri Yusuf Manji kufikisha kilio cha kumtaka abadilishe maamuzi ya kutaka kujiuzulu nafasi yake.Mapema tu baada ya Mkutano Mkuu wa Klabu ulifanyika Juni 10 kwenye Ukumbi wa Bwalo la Maofisa wa Polisi, Oyster Bay, walikusanyika na daladala mbili kwenda moja kwa moja katika makazi ya Manji.Mara baada ya kuwasili taarifa zinaeleza hawakufanikiwa kumkuta na badala yake walikutana na mlinzi aliyewaambia kuwa bosi wake hayupo akieleza...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Tuesday, 12 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News