Wambura baada ya kushinda, Ng’hambi baada ya kushindwa uchaguzi wa TFF

Dauda TV imememnasa mshindi wa nafasi ya makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura ambaye ameshinda kwa kishindo baada ya kupata kura 85 katika uchaguzi. Wambura amesema uchaguzi wa mwaka huu ulikwenda vizuri ukilinganisha na chaguzi nyingine ambazo zimepita na kuishia kulalamikiwa na wagombea kutokana na kutokuwepo kwa haki. “Mchakato umekwenda vizuri, uchaguzi umeandaliwa vizuri taratibu zimefuatwa na process nzima ya Democrasia imechukua nafasi yake lakini miaka ya nyuma kulikuwa na figisu mara huyu kakatwa mara huyu kafanya hivi.” “Tulichojifunza ni kwamba Democrasia ikisimamiwa vizuri uchaguzi unaweza kwenda bila malalamiko...

read more...

Share |

Published By: Shaffih Dauda - Saturday, 12 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News