Walimu 560 wa masomo ya sanaa sekondari wahamishiwa msingi

WALIMU 560 waliokuwa wakifundisha masomo ya sanaa katika shule za sekondari mkoani Kagera, wamepelekwa kufundisha katika shule za msingi mkoani humo, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Ofi si ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi)....

read more...

Share |

Published By: Habari Leo Kitaifa - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News