WALICHOTETA JPM, BABU SEYA IKULU

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM RAIS Dk. John Magufuli, amekutana na mwanamuziki Nguza Viking maarufu Babu Seya na watoto wake Ikulu, Dar es Salaam. Mwanamuziki huyo na watoto wake, walikwenda Ikulu jana kumshukuru Rais Magufuli kwa kuwaachia huru kwa msamaha yeye na mtoto wake Johnson Nguza, maarufu ‘Papii Kocha’ waliokuwa wakitumikia adhabu ya kifungo cha maisha jela. Katika mzungumzo yake na mkuu huyo wa nchi, Babu Seya na Papii Kocha walimshukuru kwa msamaha alioutoa kwao na wafungwa wengine 61 waliokuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo na walimuahidi watakuwa raia wema...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News