Waletwe wengine, hawa wamechoka

LONDON, ENGLAND. NDO kama ulivyosikia. Petr Cech nyakati zake zimeshaanza kufikia ukingoni kwenye kikosi cha Arsenal kwa sasa. Kipa huyo umri umeshaanza kumtupa mkono, miaka 35 haonekani tena kuwa na kitu cha maana cha kuisaidia timu hiyo yenye maskani yake huko Emirates zaidi ya kuishia kuwaomba radhi tu mashabiki kutokana na vichapo wanavyopokea mfululizo. Arsenal imechapwa mara nne mfululizo ikiwa ni mara ya kwanza tangu mwaka 2002....

read more...

Share |

Published By: Mwana Spoti - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News