Wakurugenzi wasiotenga fedha za mikopo kwa wanawake kufikia June kutumbuliwa.

wanawake waliohudhuria maandamano kuelekea uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga kuadhimisha siku ya wanawake Duniani wanawake waliohudhuria maandamano uwanja wa Nelson Mandela Mjini Sumbawanga kuadhimisha siku ya wanawake Duniani Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu (mwenyekitenge kushoto) akiserebuka na wanafunzi wa shule ya sekondari Kizwite katika maadhimisho ya siku ya wanawake Duniani yaliyofanyika Kimkoa katika manispaa ya Sumbawanga, (kushoto kwake) Mwakilishi wa Balozi wa Canada Bi. Susan Steffen pamoja na wanafuinzi. Waziri wa Afya Mh. Ummy Mwalimu (wa pili toka kushoto) akiwana Mwakilishi wa Balozi wa Canada Bi. Susan Steffen...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News