Wakaazi wa Wawi bado walalama na moshi, kiwanda cha makonyo

LICHA ya uongozi wa kiwanda cha makonyo kudai moshi unatoka kiatika kiwanda hicho hauna madhara na bomba yake kupandishwa juu, lakini bado wananchi wa Wawi na maeneo jirani, wamekuwa wakilalamikia moshi unaotoka katika kiwanda hicho kuwa unawasha unapoingia machoni.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Monday, 5 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News