Wachuuzi wa Samaki Wakiwa katika Mnada wa Malindi Funguni Zanzibar.

Wachuuzi wa samaki katika maeneo ya Zanzibar wakiwa katika ufukwe wa bahari ya Malindi Funguni Unguja wakipata bidhaa hiyo katika mnada huo. Ndoo moja ya samaki aina ya saladini imeuzwa kwa shilingi 50,000/ kwa ndoo moja....

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Saturday, 10 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News