WACHEZAJI YANGA WANUKIA UTAJIRI

NA CLARA ALPHONCE ILI kuonyesha kweli wana nia ya kufanya vizuri katika michezo yao ya kimataifa, uongozi wa Yanga umeamua kutoa Sh bilioni 1.3 kwa wachezaji endapo watafanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Yanga jana walicheza mchezo wao wa kwanza wa raundi ya pili Ligi ya Mabingwa dhidi ya Township Rollers ya Botswana katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kabla ya mchezo huo, uongozi ulikutana na wachezaji na kuwapa hamasa juu ya mchezo huo kwa kutoa ahadi kuwa watawapa fedha yote ambayo watapewa...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Wednesday, 7 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News