Wachezaji wanaocheza Ligi Kuu Bara huenda wakaachwa Zanzibar Heroes baada ya klabu zao kuwabania

Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.Wachezaji wa timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), ambao wanacheza ligi kuu soka Tanzania bara huenda waachwa katika kikosi hicho kutokana na kutopewa ruhusa na vilabu vyao kujiunga na timu hiyo ya Taifa mpaka ligi kuu bara itakapokwenda mapumziko.Kocha mkuu wa Zanzibar Heroes Hemed Suleiman (Morocco) amesema kutokana na kutopewa ruhusa wachezaji hao huenda wakawasamehe na badala yake wakawachagua wachezaji wengine wanaocheza soka hapa hapa Zanzibar.Morocco amesema ikifika Novemba 15 ikiwa bado wachezaji hao hawajawasili kambi ya Heroes watalazimika kuwaacha na kuongeza nguvu...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Friday, 10 November

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News