Vladimir Putin Atangaza Nia ya kuwania tena urais 2018

Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza kuwa atawania kiti cha urais kwa mara nyingine tena katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao wa 2018. Alitangaza hayo alipokuwa akiwahutubia wafanyikazi huko Nizhny Nov-gorod. Rais Putin ambaye ana umri wa miaka 65 alichaguliwa kwa mara ya kwanza kuwa Rais wa Urusi mwaka 2000. Baada ya kuhudumu kwa mihula miwili alichaguliwa kama Waziri mkuu na mrithi wake Dmitry Medvedev kwa muhula mmoja. Alichaguliwa tena kama rais mwaka 2012 baada ya muhula wa Rais kuongezwa kutoka miaka minne hadi sita. Kura ya maoni inaonesha...

read more...

Share |

Published By: Jamhuri Media - Wednesday, 6 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News