Vitu alivyosisitiza IGP Sirro akimuapisha Kamishna wa Zanzibar ‘Polisi tunachangamoto’

 IGP Simon Sirro leo February 12, 2018 amemuapisha Kamishna wa Polisi Zanzibar, Mohammed Hassan Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Jijini Dar es Salaam zoezi ambalo amelifanya kwa niaba ya Rais Dr. John Pombe Magufuli ambapo amesema kazi ya Polisi ni ya kujitolea na bado kazi hiyo inakabiliwa na changamoto nyingi, IGP Sirro amesema bado […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 12 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News