Viongozi watoa mkono wa pole nyumbani kwa Rais Mstaafu Kikwete

 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamini Mkapa alipowasili nyumbani kwake Msasani, jijini Dar es salaam leo kuhani msiba wa Baba Mzazi wa Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu. Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimaiana na Mke wa Mh. Benjamin Mkapa, Mama Anna Mkapa walipowasili nyumbani kwake Msasani, jijini Dar es salaam leo kuhani msiba wa Baba Mzazi wa Mama Salma Kikwete, Marehemu Mzee Rashid Mkwachu. Rais Mstaafu wa awamu ya tatu, Mh. Benjamini Mkapa akisalimiana na Mke wa Mh. Jakaya Kikwete, Mama Salma...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Sunday, 22 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News