Viongozi wakuu Chadema wawasili Polisi

Wamefika kituoni hao leo Februari 20, 2018 saa 6: 10 mchana saa chache baada ya MCL Digital kuelezwa na mkurugenzi wa  itifaki, mawasiliano na mambo ya nje wa Chadema, John Mrema kuwa viongozi hao walikuwa njiani kuelekea kituoni....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Tuesday, 20 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News