Viongozi wa dini msiwe na wasemaji ambao sio viongozi – Rais Magufuli (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewaomba viongozi wa dini zote kutokuwa na wasemaji ambao si viongozi wa dini.Rais wa Tanzania, Dokta John Magufuli amewasihi viongozi wa dini kujiepusha kuwatumia watu wasio viongozi wa dini kuzungumzia masuala ya dini, na kubainisha kuwa kufanya hivyo ni kuleta mkanganyiko."Msiwe na wasemaji ambao sio viongozi wa dini, mnapokuwa viongozi wa dini halafu mnawatumia wasemaji ambao sio viongozi wa dini labda wanasiasa, mtakuwa mnachanganya dini na siasa ambacho ni kitu kibaya sana''.Alisema MagufuliKwa hiyo panapozungumzwa jambo lolote linalohusu dini...

read more...

Share |

Published By: Sporti Starehe - Tuesday, 12 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News