Viongozi wa Chadema watinga Polisi kwa mahojiano

VIONGOZI waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe wamewasili kituo cha Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kwa mahojiano kama walivyotakiwa na jeshi hilo jana. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Viongozi wa Chadema wanaotakiwa kuhojiwa ni Mbowe, John Mnyika, Salum Mwalim, Ester Matiko, Ester Bulaya, Dk. Vincent Mashinji ......

read more...

Share |

Published By: MwanaHALISI Online - Tuesday, 20 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News