Viongozi wa Baraza la Watu Wenye Ulemavu Zanzibar Watembelea Ujenzi wa Skuli Kuangalia Mahitaji ya Watu Wenye Ulemavu Katika Ujenzi Huo.

Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la watu wenye Ulemavu Mzee Haidar Hisham Madowea katikati akiongoza ujumbe wa maafisa wa Watu wenye ulemavu walipokuwa kwenye msafara wa kuzitembelea skuli tano za ghorofa zinazojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa mkopo kutoka Opec Fund.Mwalimu Khalifa Rashidi (kulia) ambae ni Mjumbe wa Baraza la Taifa la watu wenye Ulemavu kwa niaba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, akiwa katika ziara ya kutembelea majengo ya Skuli za Ghorafa zinazoendelea kujengwa katika maeneo ya Skuli ya Muembeshauri, Fuoni,...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 8 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News