VIONGOZI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BANDA LA TRA KATIKA MAONYESHO YA SABASABA

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango (kushoto) akijadili jambo na Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Richard Kayombo (katikati) wakati Waziri huyo alipotembelea banda la TRA katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara maarufu kama Sabasaba yanayoendelea kufanyika katika Viwanja vya Mwl. Nyerere jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi wa Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Richard Kayombo akimwelezea haki na wajibu wa mlipakodi Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakati Waziri huyo...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Tuesday, 10 July

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News