VIONGOZI CHADEMA WAALIKWA GHANA KUAPISHWA KWA RAIS MTEULE NANA AKUFO

Mwenyekiti wa Chama Taifa, Freeman Mbowe na Katibu Mkuu wa Chama, Dkt. Vincent Mashinji ni miongoni wa wageni mashuhuri walioalikwa kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Ghana, Nana Addo Dankwa Akufo-Addo na Makamu wake, Dkt. Alhaji Mahamudu Bawumia, itakayofanyika Jumamosi, Januari 7, mwaka huu jijini Accra. Viongozi wakuu hao ambao wameondoka nchini usiku wa Januari 6, kuelekea Accra, pia watahudhuria kuapishwa kwa Spika wa Bunge la Ghana, pamoja na Wabunge 275, waliopatikana baada ya Uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo uliofanyika mwishoni mwa mwaka jana. Aidha, Mwenyekiti Mbowe na...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News