VIN DIESEL AONGOZA KULIPWA 2017

LOS ANGELES, Marekani MWIGIZAJI maarufu, Vin Diesel, ambaye amejipatia umaarufu mkubwa kupitia filamu ya Fast and Furious, ametajwa kuwa ndiye mwigizaji wa kiume anayelipwa fedha nyingi zaidi duniani. Kwa mujibu wa jarida la watu maarufu la Forbes, Vin Diesel, amempiku mwigizaji mwenzake ambaye alikuwa akiongoza kwa kulipwa fedha nyingi, Dwayne ‘The Rock’ Johnson, ambaye kwa sasa analipwa dola 1.5 bilioni wakati Vin Diesel analipwa dola bilioni 1.6. Chati ya malipo ya waigizaji inaonyesha kuwa Vin Diesel anaongoza kwa kulipwa dola bilioni 1.6, akifuatiwa na Dwayne Johnson (dola bilioni 1.5), huku...

read more...

Share |

Published By: Dimba - Sunday, 31 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News