VIJANA CCM WAMVAA FREEMAN MBOWE

Na MWANDISHI WETU-DAR ES SALAAM UMOJA wa Vijana wa CCM (UVCCM), umesema Rais Dk. John Magufuli hajawahi kutamka mahali popote kama Serikali ni ya kwake na si ya CCM, kama ilivyodaiwa na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe. Pia umoja huo umesema pamoja na Serikali kuongozwa na Rais Magufuli, bado iko chini ya Chama Cha Mapinduzi na kumtaka Mbowe kuacha maneno ya upotoshaji na uchochezi wa kitoto. Msimamo huo umetolewa Dar es Salaam jana na Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka, alipozumgumza na waandishi wa habari kufuatia madai...

read more...

Share |

Published By: Mtanzania - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News