Vijana ACT-Wazalendo walia na ajira nchini

Dar es Salaam. Ngome ya vijana ya Chama cha ACT Wazalendo imewataka mawaziri wenye dhamana ya kusimamia viwanda, ajira na fedha kukaa pamoja kutafakari tatizo la ajira kwa vijana na kuweka mazingira bora ya ufanyaji wa biashara ndogondogo....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Saturday, 10 March

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News