Vifaru vya jeshi vinaonekana kuelekea Harare

Vifaru vinne vimeonekana kuelekea katika mji mkuu wa Zimbabwe Harare kulingana na mashahidi siku moja baada ya mkuu wa majeshi Jenerali Constantino Chiwenga kumonya Rais Robert Mugabe kutoendelea na mpango wa kuwaondowa mashujaa wa vita kutoka chama tawala.  Jenerali Chiwenga amesema "ni lazima ni wakumbushe wanaozusha mvutano wa hivi sasa wa kisiasa kwamba, inapohusiana na kulinda mapinduzi yetu, jeshi halitosita kuingilia kati". Mapema Jumanne Chama kikuu cha upinzani......

read more...

Share |

Published By: VOA News Swahili - 6 days ago

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News