Vifahamu Vikosi vya Timu ya Zanzibar Heroes na Kilimanjaro Stars Vitakavyocheza leo.Hapa Mshamata na Himid Ndani ya Nyumba.

Na Abubakar Khatib Kisandu, Machakos Kenya.Makocha wa wakuu wa timu za Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed Suleiman “Morocco” na Kilimanjaro Stars Ammy Ninje wametangaza vikosi vyao vitakavyocheza leokwenye Mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP kati ya Zanzibar na Tanzania bara katika uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya, pambano litakalopigwa majira ya saa 8:00 za mchana.ZANZIBAR HEROES1.  Mohd Abrahman (Wawesha) 182.  Ibrahim Mohd (Sangula) 153.  Haji Mwinyi Ngwali 164.  Abdulla Kheri (Sebo) 135.  Issa Haidar Dau (Mwalala) 86.  Abdul azizi Makame (Abui) 217.  Mohd Issa (Banka) 108.  Mudathir Yahya 4 (Captain)9.  Ibrahim Hamad Hilika1710. Feisal Salum (Fei Toto) 311. Hamad Mshamata 9 AKIBA1.  Ahmed Ali...

read more...

Share |

Published By: ZanziNews - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News