VideoMPYA: Zamu ya Young Killer na hii “Hujanileta”

Tukielekea kuufunga mwaka wa 2017 mwanamuziki kutokea kwenye Hip Hop industry Young Killer kaamua kusimama na hii video mpya ya ngoma ya “Hujanileta“, ili kuitizama video hiyo bonyeza play hapa chini. VIDEO:MASTAA WAFUNGUKA: Ujio mpya wa movie ya Cloud 112 na Mke wake...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Monday, 4 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News