VideoMPYA: Fid Q ametuletea video ya wimbo wa Fresh Remix aliomshirikisha Diamond, Rayvanny

Baada ya kuachia Audio na kukaaa Kimya kwa muda Bila kuachia video Mkali wa Hip Hop Fid Q ametuletea video mpya ya Fresh Remix aliyo washirikisha wakali wa WCB, Diamond Platnumz na Rayvanny ni video ya kuitazama mtu wangu kipindi hiki cha Sikukuu.. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video.. Flaviana Matata kazungumzia Bidhaa zake, zinauzika […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Sunday, 31 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News