VideoMPYA: Dully Sykes ametuletea hii bonus ya kuitazama inaitwa Coconute

Baada ya Mkongwe kutokea Bongoflevani Dully Sykes, kutuletea video ya wimbo wa Bombadier ambao umekuwa ukifanya vizuri kwenye radio station na Tv station nyingi sasa ametuletea nyingine hii ambayo ni Bonus na nisinge penda ikupite mtu wangu inaitwa Coconute na kwenye video ameonekana Video Queen na msanii Gigy Money.. Bonyeza PLAY kuitazama Video.. UCHEBE KAFUNGUKA […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News