VideoMPYA: Diamond Platnumz ameiachia Waka ft Rick Ross

Muimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz baada ya kuahirisha kuitoa video yake ya Waka aliyomshirikisha Rick Ross siku ya December 1 kama alivyokuwa kaahidi mwanzoni, usiku wa December 8 ameamua kuiachia rasmi video hiyo iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu, unaweza kuitazama na kuacha comment yak Diamond tapota kuisoma. VIDEO: MKWARA WA DIAMOND “Kama hutaki kumshika mkono Bwana […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Thursday, 7 December

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News