VideoMPYA: Ben Pol katuletea hii mpya ya kuitazama yupo na msanii wake mpya

Video iliyonifikia leo January 2, 2017 ni hii ya mkali wa R&B kutokea Dodoma Ben Pol ambaye ametusogezea video hii mpya aliyomshirikisha msanii wake mpya anayemsimamia yeye mwenyewe anaitwa Wyse na wimbo unaitwa Bado Kidogo na unadakika 4:15. Bonyeza Play hapa chini kuitzama.. BEN POL NA ROMA LIVE: waimba na bendi ya Compozers Usiku wa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 2 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News