VideoMPYA: Belle 9 anakualika kuitazama hii “Mfalme”

Nimeipata hii ya mkali wa RnB hapa nchini, Belle 9 tokea Mji kasoro bahari Morogoro anakufungulia mwaka na ngoma yake mpya ya “Mfalme” ili kuhakikisha unaburudika na video ya wimbo huo bonyeza PLAY hapa chini. AUDIO:Mc Pilipili ndiye Mtanzania pekee aliyeshinda tuzo hii...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Wednesday, 3 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News