VIDEOMagoli: Ushindi wa 4-0 wa Yanga vs Njombe Mji, Obrey Chirwa akipiga hat-trick

Yanga wakiwa nyumbani katika uwanja wa Uhuru dhidi ya Njombe Mji wamefanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0 na kufanikiwa kuvuna point zote tatu, magoli ya Yanga yalifungwa na Obrey Chirwa aliyefunga hat-trick na Emmanuel Martin aliyefunga dakika ya 69. VIDEO: Okwi amedaiwa kupoteza fahamu uwanjani baada ya kupigwa kiwiko...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 6 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News