VideoFUPI: Habari nyingine kuhusu mmoja wa Majeruhi ajali ya Arusha

Tunakumbuka watoto watatu waliojeruhiwa kwenye ajali ya basi la Wanafunzi wa Lucky Vicent Karatu, Arusha wako Marekani katika Hospitali ya Mercy, Sioux City Iowa kwa matibabu huku wa mwisho kufanyiwa upasuaji ni Doreen. Sasa new story iliyonifikia ni kuwa mtoto Sadia ambaye ni mmoja kati ya watatu hao anaendelea na mazoezi ya kutembea kama ambavyo anaonekana kwenye hii […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Sunday, 18 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News