VIDEO: Uzinduzi gari la Makjuice wagonjwa Muhimbili watakunywa Juice bure

Hivi karibuni mfanyabiashara Makoe maarufu kama Mak-juice alizungumza na kueleza juu ya mpango wake wakuleta Daladala itakayokuwa ikisambaza Juice mtaani kwa lengo la kuwafikia wateja wake kirahisi sasa Daladala hiyo ishakuwa tayari na itafanyiwa uzinduzi katika hospitali za Mwananyamala na Muhimbili kwa kuwagawia wagonjwa Juice za bure kwa kila mgonjwa. Mak-juice amesema kwamba kila mgonjwa […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 9 February

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News