VIDEO: Ronaldinho ametangaza kustaafu, jikumbushe vitu vyake uwanjani

Staa wa soka wa kimataifa wa Brazil Ronaldinho Gaucho leo ametangaza rasmi kustaa kucheza soka la ushindani baada ya kudumu katika soka la ushindani kwa zaidi ya miaka 15, Ronaldinho amefikia maamuzi hayo baada ya kucheza soka kwa muda mrefu na sasa anaamini inatosha. Ronaldinho hadi anatangaza kustaafu kucheza soka akiwa na umri wa miaka […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Tuesday, 16 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News