VIDEO: Mbwana Samatta amesaini dili la kuwa balozi leo June 18

Good news kwa nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania Mbwana Samatta anayeichezea club ya KRC Genk ya Ubelgiji, taarifa ikufikie kuwa Mbwana Samatta leo June 18 2017 amesaini dili la kuwa balozi wa bank. Samatta leo June 18 2017 mbele ya waandishi wa habari amesaini mkataba wa miezi sita wa kuwa balozi wa Diamond […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Sunday, 18 June

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News