VIDEO: Mashamba yaliyonyang’anywa kwa vigogo kupewa vijana kwa masharti

Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi William Lukuvi wakati akiwa kwenye ziara yake ya kikazi katika mikoa ya kaskazini amewataka vijana kujitokeza kwenda katika maeneo mbalimbali ya mashamba ambayo Rais Magufuli amebatilisha umiliki wake ili waweze kuwekeza katika kilimo na utaratibu huo utafanyika kupitia wakuu wa wilaya na mikoa ya kaskazini kwa kuanzia. […] The post VIDEO: Mashamba yaliyonyang’anywa kwa vigogo kupewa vijana kwa masharti appeared first on millardayo.com....

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 6 January

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News