VIDEO: Kama ulitarajia kupigwa mnada jengo la ghorofa saba, hiki ndio kilichotokea

Wiki kadhaa zilizopita Kampuni ya Udalali ya Yono ilitangaza kupiga Mnada Jengo la Abla Complex lenye urefu wa ghorofa saba lililopo Mikocheni Dar es Salaam kwa madai kuwa mmiliki wake ameshindwa kulipa mkopo anaodaiwa na KCB Bank Limited. Ayo TV na millardayocom imempata wakili wa kampuni ya Abla Estates Developer Agency ameeleza kuwa kueleza jengo […]...

read more...

Share |

Published By: Millard Ayo - Friday, 18 August

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News