VIDEO: Hoja ya Nape yadaiwa kumtoa machozi waziri kama mtoto

Dodoma. Wiki moja tangu mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye kuwaendesha mbio mawaziri sita aliposhikilia shilingi ya waziri wa kilimo, Dk Charles Tizeba kwa kutoridhishwa na majibu ya Serikali kuhusu fedha za ushuru wa mauzo ya nje ya korosho (export levy), jana aliibua tena hoja hiyo na kumfanya Spika kutoboa siri ya waziri huyo kulia kama mtoto mbele ya kamati ya bajeti....

read more...

Share |

Published By: Mwananchi - Thursday, 24 May

Toa Maoni yako hapa - Add your comment

 

Related News